PASI YA ASSIST ILIYOPIGWA NA IBRAHIM AJIBU
PASS YA IBRAHIM AJIBU vs TZ PRISONS Na Hereniko Baba Juan Mata Jana kulikuwa na mchezo mkali sana wa wa ligi kuu ya vodacom mabingwa wa muda wote wa CECAFA dhidi ya TZ Prison na Simba kuibuka na ushindi mnonon wa goli 3-0 huku Simba akicheza mpira mwingi sana kama Barcelona Siongelei Matokeo sababu ushindi kwa Simba n kawaida kama Yanga kufungwa 5 tu lakini ni kitendo cha Ajib kupiga pass ya dunia ambayo Ozil anaota aipige siku moja pass hyo ilienda kwa Mavugo na kufunga goli kaliiiiiiiiiiii Pass nilikuwa hivi ajibu alipata mpira magharibi mwa uwanja akaambaa ambaa kama Neymar mabeki wakaogopa kumkaba akasogea akainua shingo kama Eagle akawasha indicator akavuta pumzi akaomba dua akamuangalia Mavugo akapiga pass iliyochanganyika vitu vya Modric, Iniesta, Mata, Mikhtaryan, Carrick, Xavi Inasemekana Pass aliyoipiga ajib cadabra Jana kwenye nchezo wa vpl kwenye physics tunaita Density kwenye hesabu tunaiita Jometri kwenye kiswahili tunaiita Kiarifu kwenye English tunaiita Hawa the bu...