Mkuu wa mkoa wa dar es salaam akitaja majina ya watu wanaotuhumiwa kujihusisha na matumiz na uuzaji wa dawa za kulevya

Breaking news:
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amewataja majina mtandao wa wauza unga au dawa za kulevya wakiwemo maofisa 9 wa jeshi la polisi mkoani kwake na wasanii wa mziki wa bongo flava na movie.
Wapo pia ambao wako ndani wanashikiliwa na jeshi la polisi lakini wasanii hao wote wameambiwa kureport kituo cha polisi bila shurti.
Nao hao maofisa tisa amempa siku 7 kamanda Siro kuwawajibisha na kama hata fanya hivyo basi kamanda Siro awajibike mwenyewe katika hilo.
Na ameahaidi kuendelea na mapambano hayo ya kusaka mtandao wote katika mkoa wake aidha bia amesema yupo tayari kuacha kazi ama kufa kwa ajili ya hilo.
Ameyasema hayo muda huu katika ofisi yake akiwa na waandishi wa habari.

Source: RFA 12:30 P.M

Comments

Popular posts from this blog

KILOMETERS KUTOKA DAR ES SALAAM KWENDA MIKOANI

NAMNA YA KUFANYA UPEKUZI (SEARCH) KISHERIA

MAANA HALISI YA NENO KATERERO