Posts

Showing posts from January, 2017

MATOKEO KIDATO CHA NNE

Image
HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2016   Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2015 hadi 70.09% mwaka 2016. Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi 408,372 waliofanya mtihani, jumla ya wanafunzi 277,283 wamefaulu, wakiwemo wasichana 135,859 sawa na asilimia 67.06 na wavulana 141,424 sawa na asilimia 73.26. Kwa upande wa watahiniwa wa shule, Dkt Msonde amesema kuwa 244,762 sawa na asilimia 70.35 ya waliofanya matihani wamefaulu ikilinganishwa na wanafunzi 240,996 sawa na asilimia 67.91 waliofaulu mwaka 2015. Kwa upande wa ubora wa ufaulu, amesema watahiniwa wa shule wenye ufaulu mzuri wa Daraja la kwanza hadi la tatu ni 96,018 sawa na asilimia 27.60 ==>>Bofya  <<HAPA>  Kuyaona Matokeo ya Kidato cha Nne  2016 ==>Bofya<<HAPA> Kuyaona  matokeo ya mtihani wa maarif...

A touching story

A jobless man applied for the position of 'office boy' at Microsoft. The HR manager interviewed him, then gave him a test: clean the floor. The man passed the test with flying colors. "You are hired," HR manager informed the applicant, "give me your e-mail address, and I'll send you the application for employment, as well as the date you should report for work. The man replied " I don't have a computer, or an email!" "I'm sorry," said the HR manager. "If you don't have an email, that means you do not exist. And we cannot hire persons who do not exist." The man was very disappointed. He didn't know what to do. He only had $10 with him. Once that is spent, he won't have any money to buy any food. He went to the supermarket and bought a crate of tomatoes with his $10. He went from door to door and sold the tomatoes in less than two hours. He doubled his money. He repeated the operation three times, and r...

JIPIME KWA MASWALI HAYA KAMA UNAMPENDA MPENZI WAKO

Je! Unampenda Mpenzi wako au Unajilazimisha tu kumpenda? Jipime kwa Maswali haya:- 1 - Unapoamka asubuhi wazo la kwanza kukujia linamhusu mpenzi wako au unafikiria zaidi kazi na mambo mengine? Una msukumo wa kutaka kumsalimia na pengine kumuuliza anapenda afungue kinywa kwa chakula gani?  2 - Je umekuwa mwepesi na mwenye furaha kubwa kuwaambia rafiki zako wa karibu juu ya hisia zako kwa mpenzi wako? Unajisikiaje wanapokushawishi vibaya kuhusu yeye? 3 - Je, anapokwambia anakuja kukutembelea huwa unajisikia hamasa moyoni kiasi cha mwili kusisimka? 4 - Unapokuwa peke yako mawazo yako yanatawaliwa na yeye au unafikiria kucheza gemu kwenye simu yako na kujifariji kwa vitu vingine? 5 - Unapompima kwa kumlinganisha na wengine anachukua nafasi ya kwanza au anazidiwa? 6 - Je, unapomfikiria na kupata kivutio fulani ndani ya moyo wako kuhusu ucheshi na utani wake huwa unatabasamu hata ukiwa peke yako?  7- Unajisikiaje wazo la kusalitiwa linapokujia, unaona ni...

NAMNA YA KUFANYA UPEKUZI (SEARCH) KISHERIA

Anaandika Bashiri Yakubu Kupekua( search)   ni  tendo  ambalohufanywa  na  mamlaka  za  usalama  katika  maeneo   mbalimbali   hasa  katika makazi   yawatu.  Mbali  na  makazi  ya  watu  kupekua  pia  kwaweza  kufanyika   katika    magari, treni,  na  vyombo  vyote  vya  usafiri  zikiwemo  ndege  na  meli.  Pia  kupekua  kwaweza kufanywa  kwa  mtu  kwa  maana  kuwa  mtu    kama  mtu  naye anaweza  kupekuliwa(search). Iwe  mifukoni  au  wapi  lakini  mtu  naye  hupekuliwa. Kwa  jina  la  mtaani  kupekua  hujulikana  kwa  jina  la  kupiga  sachi. Hivyo  basi  kupekua  na  kupiga  sachi   ni  kitu  kilekile. Mbali  na ...

TOKA KWA WAKILI MSOMI PETER KIBATALA

Taarifa ya Wakili msomi Peter Kibatala juu ya mwenendo wa Kesi ya lema dhidi ya Jamhuri. ................................................................................................................................................ Tumeulizwa sana kuelezea kuhusu nini kinaendelea katika case ya Godbless Jonathan Lema; na ninatoa full history hapa chini bila kuathiri Sub Judice Rule. Nitaelezea kilichotokea kama ambavyo kinavyoonekana katika records: Tarehe 8 November 2016 Godbless Jonathan Lema alifikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akishtakiwa kwa makosa mawili yanatokana na kile anachosema alikiota. Alishtakiwa katika case Nambari 441 na 442/2016. Case zikapangiwa kwa Hakimu mh. Kamigisha. Upande wa Serikali ukapinga dhamana, na wakaleta kiapo cha Afisa wa Polisi kwamba, pamoja na sababu nyingine, ni kwa usalama wa Lema mwenyewe kubaki ndani bila dhamana. Pakatokea mabishano ya kisheria; Mawakili wa Lemana Mahakama ikapanga kutoa uamuzi qa dhamana mnamo 11th November...

TAHADHARI YA UGONJWA WA MAFUA YA NDEGE TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA  WATOTO  TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI KUHUSU UGONJWA WA MAFUA YA NDEGE ULIOONEKANA KATI YA JAMII YA NDEGE PORI KATIKA NCHI JIRANI YA UGANDA JANUARI 2017. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inapenda kutoa taarifa kwa umma, kuhusu kuwepo kwa virusi vya mafua makali ya ndege katika nchi jirani ya Uganda.  Aidha taarifa hiyo imeeleza kuwa maeneo yalioathirika ni maeneo yanayozunguka ziwa Victoria pamoja na ziwa lenyewe. Ugonjwa huu umengundulika baada ya kuwepo kwa vifo vingi vya ndege pori katika maeneo  ya Lutembe beach, Masaka, Kachanga, Bukibanga na Bukakata ya nchini Uganda. Vilevile, vifo hivi vimetokea kwa baadhi ya ndege wafugwao (kuku na bata) na inahisiwa kuwa ndege hao wamepata virusi vya ugonjwa huo kutoka kwa ndege pori wanaohama kutoka nchi za Ulaya. Vifo hivyo vya ndege pori vilianza kuonekana tangu tarehe 2 Januari, 2017 na vimeo...

THE DEATH OF JOURNALIST DAUDI MWANGOSI

ArticlesIncreased state violence and impunity criticizedThe rise of brutal and violent acts against media practitioners and members of publicperpetrated by the state has been vehemently criticized.Speaking during a high profile meeting organized by the Media Council of Tanzania on May 14, 2013, the chairperson of the Council’s Think Tank, Prof Issa Shivjisaid, the situation is getting worse by the day as the culprits are not held accountable.“The continuing state violence with impunity if not checked will plunge our society to disaster”, he said.Prof. Shivji who chaired the first session ofthe meeting which drew delegates from various institutions, and various parts of the country, cautioned that the situation in Tanzania could be terrible as it was in LatinAmerica decades ago where several people were killed and perished due increased state violence with impunity.The second session of the meeting whose theme was Escalating State Violence with Impunity: Press Freedom Under Siege was ...

MULT PARTY democracy

Things are changing politically in Tanzaniajust as they are in almost all other African countries. Once famous names have comeback into the limelight Fundikira, Kambona, Hamad during recent weeks andnew names like Mapalala and Marando, and, dramatically, after his massive election victory, Zambia’s new President Frederick Chiluba, who said, during an official visit to Dar es Salaam: “I am not here on a mission to propagate my country’s style of democracy” .The pressures on the Presidential Commission on Political Change (Bulletin No 40) whose work is now drawing towards its end, must be very great indeed. There remains a wide divergence of view between those wanting Tanzania to become a multi-party state and those wishing to preserve the one-party status quo. What is more, the advocates of the multi-party system have also begun to show divergences of view amongst themselves.A ‘Steering Committee for a Seminar on the Course of Transition to Multi-Party Democracy’ had been held in Dar es...

TALK ABOUT CHILD LABOUR

CHILD LABOUR          IntroductionChild Labour refers the work done by under age children in order to live an ordinary life with essential needs. Instead of enjoying their moments of childhood, they are being forced to do work as Child Labour in an unhealthy environment. No parent want that their children work as a labour in their little age instead of playing, enjoying or getting good education for just getting a few amount in rupees; but still they are forced to do it due to the bad circumstances.Child trafficking has been the main concern for Indian government since 1980s; thus,the percentage of labour child is declining day by day but this major crime is still not stopped completely.            There areso many workspaces where this non-acceptable crime occurs like agriculture, house hold activities, restaurants and dhabas, real estate, unsafe manufacturing industries (glass, match box, fireworks or coal mines), etc.Law...

YALIYOMO KATIKA SHERIA YA MTOTO

Image
          Yaliyomo Kwenye SHERIA ya MTOTO Na 21 ya mwaka 2009Sheria hii imegawanyika katika sehemu kuu 13 kama ifuatavyo.Sehemu ya Kwanza;Ina maelezo ya utangulizi yanayojumuisha jina la sheria na tarehe ya kuanza kutekelezwa pamoja na ufafanuzi wa maneno yaliyotumika.Sehemu ya Pili;Inatoa tafsili ya mtoto na maelezo ya jumla ya haki ya mtotoSehemu ya Tatu;Inajumuisha uangalizi na ulinzi wa watoto walio katika mazingira hatarishi.            Sheria hii inafafanua mazingira mbalimbali ambayo ni hatarishi kwa mtoto kama vile uyatima, kutelekezwa, kuteswa, kuzurura,kukinzana na sheria.Sehemu ya Nne;Ina maelezo yanayohusu uangalizi wa mtoto kwa njia ya malezi ya kambo. Pia sehemu hii inaainisha na kumpa majukumu mtu aliyepewa dhamana ya uangalizi wa mtoto.Aidha, inatoa masharti ya mlezi na kuwa ni kosa kumuondoa mtoto bila ruhusa kwa mtu ambaye amepewa jukumu la uangalizi wa mtoto.Pia katika eneo hili inazuia utangazaji wa taar...

INTERNATIONAL HUMANITARIAN LAW

Image
THE LAW OF WAR   International humanitarian law (IHL), also known as the laws of war and the law of armed conflict, is the legal framework applicable to situations of armed conflict and occupation. As a set of rules and principles it aims, for humanitarian reasons, to limit the effects of armed conflict.Fundamental to IHL are the following two principles:1.The protection of persons who are not, or are no longer, participating in hostilities; and2.The right of parties to an armed conflict to choose methods and means of warfare is not unlimitedIHL is a part of public international law. Public international law is a broad set of treaties, customary law, principles and norms.  The framework traditionallyregulated relationships only between states.  It has evolved, however, to cover a broad range of actors.              IHL is notable in this regard, as it recognizes obligations for both states and non-state armed groups that are pa...

MANUSURA WA MAUAJI YA KIMBARI WALAANI

MANENO YA MANUSURA WA MAUJI YA KIMBARI           Watu walionusurika na mauaji ya halaiki nchini Rwanda wamelaani makala maalum iliyoandaliwa na kurushwa na kituo cha television cha BBC II kuhusu mauaji ya Rwanda. Mwandishi wa makala hayo alieleza kwamba kuanguka kwa ndege ya rais wa zamani nchini Rwanda mwaka 1994 ilikuwa sababu ya kutokea mauaji ya halaiki nchini humo suala ambalo linakanushwa vikali na serikali ya Rwanda na walionusurikana mauaji hayo.         Makala hiyo iliyopewa jina “The untold story about Rwanda” ikiwa na maana hadithi isiyotajwa kuhusu Rwanda. Mwandishi wake Jane Corbin ambaye pia ni mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha BBC alikwenda Rwanda mwezi April mwaka huu wakati wa kumbukumbu ya mauaji ya Rwanda ya mwaka 1994. Makala haya yanafafanua jinsi yamauaji ya Rwanda yalivyoanza na kufanayika.Lakini walionusurika na tukio hilo pamoja na serikali kwa jumla wanaona kile kilichoko kwenye makala hiyo ni...

MAANA HALISI YA NENO KATERERO

HII NDIYO MAANA HALISI YA NENO KATERERO Rafiki yangu mpendwa, naandika maneno haya nikiwa na uhakika kuwa yatakufikia na kuweza kukutoa katika kifungo cha mawazo. Ni wajibu wangu na ni haki yako pia, mimi kuweza kujitahidi kwa vyovyote vile niwevyo ili niweze kukutoa katika kifungo hicho. Kuendelea kukuacha katika hicho kifungo eti kisa mimi sijafungwa kimwili, nitakuwa najidanganya kwani kama sijafungwa kimwili, nitafungwa kiroho. Ninaweza kukosa hata nafasi ya kuuonja utamu wa milele kwani nitakuwa na kesi ya kujibu huko mbeleni kwa maana Muweza Wa Yote anasema kuwa , “ Amuachaye mwenzie akaangamia ilihali anao uwezo wa kumnusuru atakuwa amejiangamiza yeye mwenyewe”. Kwa mantiki hiyo sasa, nataka nikunusuru wewe usiangamie pamoja na mimi pia kwa kukutoa katika kifungo cha maana ya neno KATERERO. Ikumbukwe kuwa ni wazi na ukweli usiopingika kuwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na upindishaji wa lazima wa maana ya neno KATERERO. Watu wengi tena wenye akili zao, ambao wangekuwa...

KESI YA UCHOCHEZI WA MITANDAO TANZANIA

               Leo katika mahakama ya wilaya ya Mbozi, jeshi la polisi liliwapandisha kizimbani vijana. watatu, Mdude Nyagali, Aristotle Mgasi na Omary Muba kwa tuhuma za uchochezi na makosa ya mtandao.Mdude na wenzie walikamatwa na kuwekwa rumande wiki 3 zilizopita, bila kupelekwa mahakamani kwa sababu ambazo hazikutajwa. Jambo ambalo ni kinyume cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, sheria no.09 ya mwaka 1985 (The Criminal procedure act, 1985).        Sheria hii inamuhitaji mtuhumiwa kukaa mikononi mwa polisi kwa muda usiozidi masaa 24 kabla ya kufikishwa mahakani.Lakini Polisi wamevunja sheria hii kwa makusudi. Wamewaweka watuhumiwa rumande zaidi ya wiki 3 bila kuwafikisha mahakani. Polisi wamekamata watu wanaodaiwa kuvunja sheria, lakini nao wakavunja sheria nyingine wakati wakitekeleza sheria inayodaiwa kuvunjwa. Paradox.!!Pili, Mdude na wenzie walipokamatwa wiki 3 zilizopita walisafirishwa hadi Dar na kuwekwa maha...

MAJIBU RAHISI UWAPO MBELE YA MAHAKAMA

UKIWA MAHAKAMANI UNAJIBU MASWALI JARIBU KUTOA MAJIBU KAMA IFUATAVYO ( 1 ) Kama  unahojiwa na  Wakili mahakamani  usijibu  bila kutafakari alichokuuliza.( 2 ) Wakili  asikuogopeshe kwa ukalianapokuuliza  kwani  ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha  ulichopanga kusema. ( 3 ) Usilazimishe  kujibu kitu ambacho hukijui ni bora kusema  sijui kuliko kulazimisha kujibu. ( 4 ) Penda sana kujiamini  kwakuwa kujiamini  hupunguza  uwezo wa  Yule anayekuuliza, hata awe Jaji/Hakimu. ( 5 ) Jitahidi  kupata ushauri  wa wanaojua  sheria  kwa  kila hatua unayopiga  katika  kesi. ( 6 )Kama we  ni  shahidi hakikisha unajadiliana  vya kutosha  na Yule unayemtolea ushahidi  kabla  hamjaingia mahakamani. ( 7 )Usipaniki kiasi cha kutoa neno  lolote la kashfa ,kejeli, au  tusi mahakamani unaweza kuongeza kosa  la  kuidharau m...

MATUMIZI YA NGUVU KWA POLISI DHIDI YA RAIA

Image
        MATUMIZI YA NGUVU KATIKA KUKAMATA                             (ARREST)         Siku  zote  wananchi  wamekuwa    wakililalamikia jeshi  la polisi  kwa  namna  linavyoendesha  shughuli  zake hasa wakati  wa  ukamataji (arrest). Matumizi  ya  nguvu, ubabe na  kutofuata  sheria    na  taratibu  maalum  limekuwa  ndio  tatizo  kubwa  kwa  wananchi  dhidi  ya  askari.         Sio  siri  askari wamekuwa  wakitumia  nguvu  na  ubabe  mno  katika  kuwakamata raia.  Hata  pale pasipo  na  haja  yoyote  ya  kutumia nguvu    bado  wao  wamekuwa  wakilazimisha  nguvu  nyingi ...